Leah

Mrembo mtanashati, mchangamfu na muda wote anaenda na mtindo wa mavazi, Leah ana miaka 28 kutoka Nyahururu, ambaye anajikakamua kushughulika na kuendesha biashara yake ya fashoni, kuwa mama na kusimamia shamba.

Anapenda kupika, lakini anachukia kuosha vyombo. Je ataweza kuchafua mikono yake iliyorembeshwa vizuri ili aweze kuibuka mshindi?

Na muhimu zaidi, utakua unashabikia Leah kushinda?

Ukona maswali yoyote kwa Leah?

Wasilisha swali lako kwa Leah kwa kurasa letu kwa Facebook na tufuate kwa makini kupata majibu kutoka kwa washirki na habari zinginezo kuhusu kipindi

Masimulizi mpaka sasa