Karibu katika Don't Lose the Plot!

Pata uzoefu mpya wa jinsi ya kugeuza ukulima/kilimo kuwa biashara yenye faida na manufaa!

Kutoka kwa watayarishi wa Shamba Shape Up, tunakuletea Don’t Lose the Plot, kipindi kipya cha kusisimua ambapo utaona wakulima chipukizi wanne kutoka Kenya na Tanzania, wakilima na kuishi sako kwa bako msimu wote wa kulima wakishindania kupata zawadi ya kipande cha ardhi.

Tunakuza ndoto na mawazo, na kisha kutayarisha kizazi kijacho cha wakulima. Je utaiweza?

Kukutana na wakulima

Washirika

Washiraka wetu wafuatao wamefanikisha Don’t Lose the Plot: