Taarifa za Kilimo

Unahitaji usaidizi wa kujenga banda la kuku? Au jinsi ya kudhibiti wadudu na magonjwa kwenye mimea yako? Au labda unahitaji mbinu za uwekaji kumbukumbu za kifedha katika shamba lako. Kama ndiyo, wacha tukusaidie! Bonyeza kwenye picha hapo chini kupata ushauri wa kilimo katika mada zifuatazo.

Pata kila unachohitaji kujua kuhusu jinsi ya kufuga ng’ombe wamaziwa na kuku wa nyama kama biashara. Bonyeza katika picha hapa chini kwaajili ya taarifa zaidi.

Unataka kuanza kupanda zao fulani lakini hauna uhakika nini cha kufanya au wapi pa kuanzia? Usiwaze sana! Tutakupa taarifa muhimu za kukusaidia kuanza biashara yako ya kilimo.

Kabla ya kuamua nini unataka kupanda kama sehemu ya kilimo biashara, unajua jinsi ya kuandaa bajeti na madhumuni yake ni gani? Umefikira kuhusu ni wapi, vipi na nani utamuuzia mazao yako? Kama unataka kuwa na biashara yenye mafanikio, bonyeza katika picha hapo chini kwaajili ya vidokezi muhimu za kifedha.