Kenneth

Kutoka kuwa mpenda vitabu na kila kitu kinachohusu masomo hadi kujifunza uwekaji kumbukumbu za hesabu, Kenneth ndiye mdogo katika ya wote akiwa na miaka 19. Kwa mawazo yake mazuri na bunifu nna nafsi ya bidii na kazi, Mkenya kutoka Oyugis hatoi nafasi umri wake imzuie kufika juu. Yuko kwenye hili shindano kushinda!

Je ujana wake na roho ya kutaka makuu vitatosha kwa yeye kuibuka mshindi katika huu ukurasa mpya wa maisha yake?

Kama atafanya kila kitu kuendana na taratibu, anaweza kushinda.

 

Ukona maswali yoyote kwa Kenneth?

Wasilisha swali lako kwa Kenneth kwa kurasa letu kwa Facebook na tufuate kwa makini kupata majibu kutoka kwa washirki na habari zinginezo kuhusu kipindi

Masimulizi mpaka sasa