Issah

Issa ni mtafutaji! Mwenye miaka 26 kutoka Arusha, Tanzania anejua pitapita zake shambani! Kijana huyu amekua akifanya kazi katika shamba lao la familia huko Arusha. Anapenda kucheza mpira wa miguu lakini mara kadhaa huzubaishwa na hamu yake katika kamari.

Twende tuzungushe dadu na tuone kama atakua mwenye bahati.

Je ataweza kuweka sucha ya mcheza karata na kujifunza upande wa biashara ya kilimo, na je anaweza kuweka mpira wake hando na kufunga dhahabu?

Ukona maswali yoyote kwa Issah?

Wasilisha swali lako kwa Issah kwa kurasa letu kwa Facebook na tufuate kwa makini kupata majibu kutoka kwa washirki na habari zinginezo kuhusu kipindi

Masimulizi mpaka sasa