Winrose

Winrose, mwenye miaka 24 kutoka Meru, Tanzania kwa hakika ndio mwenye haya katika hili kundi. Lakini, usichukulie ukimya wake kuwa unyonge; huyu binti ana nguvu za kustahimili na kumakinika!

Je ataweza kuvunja ganda lake nakutoka nje, na kutoa ushindazi inayo endana na jina lake?

Usimhesabie kuku wake kwa sasa!

Ukona maswali yoyote kwa Winrose?

Wasilisha swali lako kwa Winrose kwa kurasa letu kwa Facebook na tufuate kwa makini kupata majibu kutoka kwa washirki na habari zinginezo kuhusu kipindi

Masimulizi mpaka sasa