Dhania

Kotmiri (hujulikana sana kama Dhania) ni kiungo kitamu. Ina Vitamini C na madini, inaonyesha kwa rangi ya kijni kilichokolea. Zao hili pia ni rahisi kuota.

  • Dhania inaweza kuota katika udongo wa aina nyingi lakini pia inafanya vizuri kwenye udongo uliyomtririko mzuri wa maji  udongo mweusi wa changarawe kidogo, na yenye viumbe hai
  • Haihimili mvua nyingi au mkusanyiko wa maji.
  • Mimea wa shamba hukua vyema kwenye hali ya hewa ya joto kiasi na baridi. Unaweza kutengeneza kivuli katika maeneo yenye joto.


Uandaaji wa ardhi 

Andaa shamba kwa kulima vyema. Lima mara 2-3 kisha vunja madonge ya udongo, toa magugu namagunzi.

Pia tunahimiza ulimaji mdogo kuondoa kwekwe na mimea ya awali na panda moja kwa moja kupunguza mmomonyoko wa udongo na kudumisha muundo wa udongo.

Hapa chini ni baadhi na mbinu za kukusaidia kuanza ukulima wa dhania.