Kudhibiti Wadudu na Magonjwa

Aphids on coriander

Dhania huhimili magonjwa kwa wastani. Dhiditi wadudu kama thrips, aphids-vudakuri na nzi weupe kwa kutumia viuatilifu. Magojwa ya kawaida ni ya kuvu kama Fusarium wilt, Ukungu wa podapoda, na uozaji wa shina. Haya yanaweza kudhibitiwa haswa kwa: Uimarishaji wa mbegu, utimiaji wa mbegu zilizoidhinishwa,usafi mzuri wa shamba, ubadilishaji wa mazao na kunyunyizia viuakuvu.

Pigia iShamba kwenye +254 711082606 au tuma ujumbe kwa 21606 kwaajili ya taarifa zaidi kuhusu wadudu na magonjwa