Aina za Maboga

Butternut Waltham

Nunua hizi aina kutoka Royal Seed:

WALTHAM

  • Matunda yanayotoshana/usawa na yana virutubisho vingi na ladha.
  • Hukomaa siku 90-100 baada ya kupanda
  • Yanatoa tani 5-6 kwa ekari
  • Muda wa kuhifadhi kwenye rafu mpaka miezi 6

ATLAS F1

Butternut Atlas

  • Matunda makubwa ya kutoshana/usawa kwaajili ya soko la papo hapo na usindikaji.
  • Hayapati magonjwa kwa urahisi
  • Yanakua vyema kwenye maeneo yenye joto na baridi
  • Yanatoa tani 12-18 kwa ekari. Tunda lina uzito wa kilo 2-3
  • Muda wa kuhifadhi kwenye rafu ni mpaka miezi 6

Kwa matokeo bora haswa uotaji na zao bora, daima nunua mbegu zilizoidhinishwa. Mbegu zilizoidhinishwa:

  • Hutoa mavuno ya kiwango bora
  • Hupunguza uwezekano wa zao kutofaulu
  • Zinahimili baadhi wa wadudu na magonjwa
  • Hukua kwa haraka, imara na kwa usawa.

Nunua mbegu zilizoidhinishwa kutoka kwa wauza pembejeo.Mbegu za Waltham zinauza katika pakiti wa kilo 10, kilo 25, kilo 50, kilo 100, kilo 250 na kilo 500 na Atlas F1 zinauzwa kwenye pakiti ya mbegu 100.