Uvunaji na Kuhifadhi
Maboga yanatakiwa kuwa tayari
kwa kuvunwa baada ya siku 75-150. Yanapaswa kukomaa kwenye mmea.Ukivuna mapema
sana, hayatakua na kiwango kizuri. Ngozi inatakiwa iwe ngumu na isikwangurike/kwaruzike
kiurahisi.
Vuna tunda likiwa na sehemu ya shina. Kuwa makini usiharibu tunda wakati wa kuvuna. Litahifadhika kwa muda mrefu.
Hifadhi maboga kwenye sehemu kavu na baridi mpaka bei sokoni iwe nzuri.Hifadhi mpaka miezi 4.
Show times
Kenya
Sunday 1:30 pm (Swahili)
Thursday 1:30 pm (English)
Tanzania
Friday 6:30 pm (Swahili)
on ITV
Uganda
Sunday 3:30 pm (English)
on Urban TV
Maboga
Ushauri kwa matendo kuborsha shamba lako na kupata mavuno bora
Jisajili bure