Fedha
Kabla ya kuamua nini unataka kupanda kama sehemu ya kilimo biashara,
unajua jinsi ya kuandaa bajeti na madhumuni yake ni gani? Umefikira kuhusu ni
wapi, vipi na nani utamuuzia mazao yako? Kama unataka kuwa na biashara yenye
mafanikio, bonyeza katika picha hapo chini kwaajili ya vidokezi muhimu za
kifedha.