Ulishaji wa kuku wako

Broiler growers mash feed

  • Siku 1-21: Starter Mash. Kila kifaranga atakula kilo 1 ndani ya siku 21.
  • Siku 21 – 35: Finisher Mash. Kila kuku atakula kilo 2 ndani ya siku 14.
  • Siku 35 – 42: Finisher Mash. Kila kuku atakula kilo 1 zaidi ndani ya siku 7.

Badilisha chakula taratibu:

  • Siku 20: 75% Starter Mash na  25% Finisher Mash
  • Siku 21: 50% Starter Mash na 50% Finisher Mash
  • Siku 22: 25% Starter Mash na 75% Finisher Mash

Wakati kuku wako nje ya kiota, toa treya za kulishia. Ning’iniza vilishio kutoka kwenye dari kimo au urefu wa mogongo wa kuku. Hii huzuia kuku kuharibu chakula.

Kuku wa nyama yako itakuwa tayari kwa ajili ya kuuza kwa siku ya 35-42 katika 1.5kg.