Aina za Hoho

Capsicum

Hapa Kenya, ukulima wa hoho unafanya vyema katika maeneo yenye joto kama Mkoa wa Mashariki, eneo la Pwani, na maeneo ya hali ya joto ya central na kadhalika.


Sweet Pepper-Maxibell

Sweet pepper maxibell

Kimesanifishwa, ukimbelewele ya wazi, wenye uwezo wa matunda makubwa
 • Nzuri kwaajili ya kivungulio na shamba la wazi.
 • Matunda ya rangi iliyokolea ya kijani
 • Inakomaa ndani ya siku 75.
 • Uzalishaji: tani 8 kwa ekari
 • Hukaa mda mrefu baada ya kuvunwa.
 • Uzito wa tunda: gramu 120 -150
 • Huhimili magonjwa: Virusi vya Tumbaku Mosaic (TM1), Ukungu wa poda poda, Purple Blotch na Anthocyanin.


 

Yolo Wonder

Yolo wonder

Aina yenye kiwango chakawaida cha kimbelewele na inahitajika sana sokoni
 • Huendana na hali ya hewa ya joto la kati
 • Hukomaa ndani ya siku 80 kutoka inapopandikizwa.
 • Uzalishaji: tani 6 kwa ekari
 • Uzito wa tunda: gramu 100-120
 • Uhimili wa magonjwa: Tobacco Mosaic Virus (TM1)

California Wonder

California wonderAina ya kiwango cha kimbelewela cha kawaida yenye uzalishaji endelevu. Ni imara sana, inanguvu zaidi ina kuwa kwa mbiyo sana na huwa mrefu kuliko aina zingine.

 • Matunda yenye rangi ya kijani iliyokolea na hubadilika kuwa mwekundu inapokomaa kabisa.
  • Hukomaa ndani ya siku 80 baada ya upandikizaji
   • Hukomaa ndani ya siku 80 baada ya upandikizaji
    • Uzalishaji: Tani 6 kwa ekari
    • Uzito wa tunda: gramu 100-120