Uvunaji

Harvesting capsicum

Matunda yako tayari kwa kuvunwa kwenye wiki 8-12 baada ya kupandikiza na  kupatikana kwa jumla ya tani 4 kwa ekari.

Kuvuna, chuna taratibu tunda kutoka kwenye mmea. Acha shina kidogo kwenye tunda.

Matunda ya Pasarella inatakiwa kuwa na uzito wa gramu 250.