Uvunaji

Matunda yako tayari kwa kuvunwa kwenye wiki 8-12 baada ya kupandikiza na kupatikana kwa jumla ya tani 4 kwa ekari.
Kuvuna, chuna taratibu tunda kutoka kwenye mmea. Acha shina kidogo kwenye tunda.
Matunda ya Pasarella inatakiwa kuwa na uzito wa gramu 250.