Kuvuna

Inategemea na aina kabeji lako linatakiwa kuwa tayari kwa kuvunwa baada ya miezi 2-3.
Vuna kabeji wakati vichwa vimejiunda – vyema, thabiti, kubwa la kutosha kwaajili ya soko.Kwa uangalizi mzuri,unaweza kuvuna tani 40-60 kwa ekari.
Kwavile ni zao la kuharibika haraka, hakikisha kuna soko la tayari kabla ya kuvuna.