Kupandikiza Nyanya

Transplanting tomatoes

Hatua 1

Pandikiza miche baada ya wiki 3-4( urefu wa 15 -25cm  ama miche ikiwa na majani 3 -5)

Hatua 2

Wiki moja kabla ya kuhamisha, punguzia mimea maji li kuimarihsa mimea na kuwa ngumu

Hatua 3

Chimba mashimo futi 1 ½ kiumbali katika mshororo na mishororo ya futi 2 katiyazo na chenye kina cha ½ futi (15cm) kiurefu.

Hatua 4

Weka kiganja cha samadi  na kifuniko cha mbolea ya kupandia kama Mavuno Planting NPK 10.26.10 kwa kila shimo.

Hatua 5

Changanya udongo, mbolea na samadi vyema.

Hatua 6

Ng’oa miche na udongo kiasi kwenye mizizi na ipande kisha imarisha udongo kuizunguka.

Hatua 7

Totesha tena na PEARL na CONTROL 70DF kutoka Osho Chemicals na mwagilia miche  maji mara kwa mara.

Drenching soil