Kuvuna

Harvesting tomatoes

Ikitegemea na aina, nyanya zinakomaa miezi 3 -4 baada ya kupandikiza. Chukua matunda na uweke kwenye kasha safi za plastiki au vya mbao tayari kwa kuuza/ kusindika. Unaweza kuvuna kilo 12 -15 kwa mmea (25- 30 kg kwa futi mraba) katika usimamizi bora wa kilimo.