Upandaji wa Miche ya Nyanya

Tomato seedlings

Kwa mwanzo mzuri, otesha miche kwenye kitalu kwa wiki 3-4  za mwanzo. Kama utanunua miche ya mwezi 1 umeokoa kazi ya mwezi moja. Unapopanda mbegu ni asilimia 70 – 80% tu ndio huota na kuwa miche. Kama unanunua miche 100 utakua na miche 100.

Fuata hizi hatua rahisi katika kuweka kitalu:

Hatua 1

Miche inakua na kimo kimoja hivyo utapata ukuaji wa sawa sawa. Nunua miche kutoka kwa muoteshaji mzuri wa miche kama Plant Raiser. Wanaotesha kwa ajili ya vivungulio, ina ukuaji mzuri wa mizizi na haina wadudu au magonjwa.

Hatua 2

Panda miche 60cm kiumbali katika mistari kwa kulinganisha mpira wa kutonesha maji, yaani driplines, kwa umbali wa  30 cm katiyazo. Panda katika zigi zaga. Panda miche karibu na mistari ya umwagiliaji ili ipate maji kiurahisi.

Planting tomato seedlingsHatua 3

Pia inazuia maji kupotea bure. Hakikisha mashimo kwenye mfereji ya kutonesha maji yanaangalia juu. Ongeza maji zaidi kama kuna kiangazi.

Hatua 4

Kama udongo unashika kwenye mikono yako unapouinua umetota sana. Udongo uliotota huleta magonjwa. Shina zitataoza na mmea utaanguka. Hii inaitwa kudondoka ( damping off)  na mmea unaweza kufa.