Wadudu na Magonjwa
Wadudu
Nzi weupe au Whiteflies
Nzi weupe au Whiteflies ni wadudu wadogo weupe ambao wananyonya utomvu kutoka kwenye majani ya spinachi.
Kidukari
Kidukari ni wadudu wadogo, kawaida wana mwili wa kijani laini ambao husababisha mjani ya spinachi kujikunja.
Angamiza Nziweupe au WhiteFlies na Kidukari kwa Cyclone kutoka Osho Chemicals.Changanya mililita 30 za Cyclone kwenye lita 20 za maji ndani ya bomba/knapsack. Nyunyizia/pulizia unapoona Nzi weupe Whiteflies au vidukari.
Viwazi
Viwavi hufanya mashimo kwenye majini ya spinachi. Majani yenye matundu hayapati bei mzuri sokoni
Waangamize Viwavi kwa Mida kutoka Osho Chemicals, Changanya mililita 10 ya Mida kwa maji 20lt. Puliza ama nyunyiza kwenye matawi unapoona viwavi. Mida pia huua nzi weupe.
Magonjwa
Madoadoa/Leaf Spot
Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kuvu. Utaona vidoa vidogo vyeusi kwenye majani.Vidoa hubadilika kuwa kahawia au kijivu.
Tibu Leafspot kwa Sulcop 50DF kutoka Osho Chemicals. Changanya gramu 50 za Sulcop kwenye lita 20 za maji ndani ya bomba/knapsack. Nyunyizia majani. Hufanya kazi vizuri wakati unaitumia kudhibiti Leafspot.
Ukungu wa podapoda
Ukungu wa podapoda ni kuvu nyeupe inayoota chini ya majani ambayo baadaye hufanya madoa meusi au ya kahawia kwenye sehemu ya juu ya majani. Huanza mapema sana kwenye kitalu na kuendelea kwenye hatua zote za mmea, kama haitadhibitiwa vyema.
Kudhibiti, badilisha eneo lako
la shamba, fanya usafi mzuri wa kitalu na tibu kutumia Control kutoka Osho
Chemicals.
Show times
Kenya
Sunday 1:30 pm (Swahili)
Thursday 1:30 pm (English)
Tanzania
Friday 6:30 pm (Swahili)
on ITV
Uganda
Sunday 3:30 pm (English)
on Urban TV
Spinachi
Ushauri kwa matendo kuborsha shamba lako na kupata mavuno bora
Jisajili bure