Kuhudumia
- Toa magugu kwani
hushindania virutubisho, maji na nafasi. Pia hua wenyeji wa wadudu na magonjwa.
Toa magugu kwa mkono au kutumia jembe. Usitumie vya kuulia wadudu baada ya
kupita dharura kwani vinaweza kuharibu mimea yako yote.
- Jazia kichuguu wakati
viazi vina urefu wa 15 – 25 cm kwa kujazia udongo kuzunguka mizizi. Hii hutoa
nafasi kwa chipukizi kuwa kubwa na kuepuka viazi kuwa kijani ambayo hupunguza
kiwango.
Show times
Kenya
Sunday 1:30 pm (Swahili)
Thursday 1:30 pm (English)
Tanzania
Friday 6:30 pm (Swahili)
on ITV
Uganda
Sunday 3:30 pm (English)
on Urban TV
Viazi
Ushauri kwa matendo kuborsha shamba lako na kupata mavuno bora
Jisajili bure