Kuhudumia

Weeding potatoes

  1. Toa magugu kwani hushindania virutubisho, maji na nafasi. Pia hua wenyeji wa wadudu na magonjwa. Toa magugu kwa mkono au kutumia jembe. Usitumie vya kuulia wadudu baada ya kupita dharura kwani vinaweza kuharibu mimea yako yote.
  2. Jazia kichuguu wakati viazi vina urefu wa 15 – 25 cm kwa kujazia udongo kuzunguka mizizi. Hii hutoa nafasi kwa chipukizi kuwa kubwa na kuepuka viazi kuwa kijani ambayo hupunguza kiwango.