Wadudu na Magonjwa ya Viazi

Potato blight
Wadudu

Wadudu wa kawaida ni Bollworms, Thrips, Whiteflies(nzi weupe),Leafminers( watoboa matawi na wadudu wengine wowote wanaoruka. Wadudu hula mashina/majani ya viazi

Leaf miners hutengeneza mistari kwenye majani.

LeafminersWhiteflies/Nzi weupe ni wadudu wadodo ambao hunyonya juisi kutoka kwenye mmea na wanapatika chini ya majani.

WhitefliesMagonjwa

Bacterial Wilt hauna tiba na unaweza kudhibitiwa pekee kwa kutumia mbegu zilizoidhinishwa, kubadili mazao na matumizi ya vifaa safi vya shambani. Chimbua mimea yenye ugonjwa pamoja na mpira wa udongo, weka mbali na mimea mingine kukauka kisha choma.

Bacterial wilt potatoesBlight ni ugonjwa mwingine wa kawaida katika viazi. Dhibiti kwa kutumia viuakuvu kama MASTER/MISTRESS kutoka Osho Chemicalsna nyinginezo.

Potato blightUkungu wa poda poda ni ugonjwa wa kuvu ambao unaweza kuona kama poda nyeupe kwenye majani ya mmea wako. Unaweza kutibiwa na kuzuiwa kwa kutumia COTAF kutoka Osho chemicals.

Powdery mildewKupata zaidi kuhusu wadudu na mgonjwa jiunge na iShamba au tuma UJUMBE kwa 21606.