Upandaji wa viazi

Hatua 1
Chimba mashimo ya 30cm katika mishororo, na 75cm kiumbali/katiyazo.
Hatua 2
Weka kiganja kimoja cha samadi na 10gm za DAP au NPK na changanya vyema na udongo.
Hatua 3
Chimba mashimo yenye kina cha urefu wa 10cm
Hatua 4
Panda viazi 30cm katiyazo huku vichipukizi vikiangalia juu. Weka vikonyo juu ya udongo na funika na udongo kidogo kutengeneza kichuguu ili kuzuia magugu.