Wadudu na Magonjwa ya Viazi

Wadudu
Wadudu wa kawaida ni Bollworms, Thrips, Whiteflies(nzi weupe),Leafminers( watoboa matawi na wadudu wengine wowote wanaoruka. Wadudu hula mashina/majani ya viazi
Leaf miners hutengeneza mistari kwenye majani.
Whiteflies/Nzi weupe ni
wadudu wadodo ambao hunyonya juisi kutoka kwenye mmea na wanapatika chini ya
majani.
Magonjwa
Bacterial Wilt hauna tiba na unaweza kudhibitiwa pekee kwa kutumia mbegu zilizoidhinishwa, kubadili mazao na matumizi ya vifaa safi vya shambani. Chimbua mimea yenye ugonjwa pamoja na mpira wa udongo, weka mbali na mimea mingine kukauka kisha choma.
Blight ni ugonjwa mwingine wa kawaida katika viazi. Dhibiti kwa kutumia
viuakuvu kama MASTER/MISTRESS kutoka Osho Chemicalsna nyinginezo.
Ukungu wa poda poda ni ugonjwa wa kuvu ambao
unaweza kuona kama poda nyeupe kwenye majani ya mmea wako. Unaweza kutibiwa na
kuzuiwa kwa kutumia COTAF kutoka Osho chemicals.
Kupata zaidi kuhusu wadudu na mgonjwa jiunge na iShamba au tuma UJUMBE kwa 21606.