Aina za Vitunguu

Royal Seed Onion varieties









Red Pinnoy F1 kutoka Royal Seed

Onions Red Pinnoy

  • Nzuri kwaajili ya maeneo yote.
  • Vitunguu vyekundu sana ambazo huvutia na uhitaji mkubwa sokoni
  • Hupevuka kwa haraka: hukomaa ndani ya siku 90
  • Harufu imara
  • Mazao kwa ekri : tani 25
  • Muda mrefu wa kukaa mpaka miezi 6 katika hali ya joto la kawaida hata bila kubarafishwa.


RED CREOLE kutoka Royal Seed

Onions Red Creole

  • Nzuri kwaajili ya maeneo yenye mwinuko kiasi/kidogo
  • Rangi nyekundu iliyokolea
  • Hukomaa ndani ya siku 150
  • Vitunguu vizuri kwaajili ya soko la mazao mabichi
  • Mazao kwa ekari: tani 20
  • Inahifadhija kwa kiwango kizuri
  • Muda mrefu wa kuhifadhi mpaka miezi 6 katika hali ya joto la kawaida, hata bila kubarafishwa.


BOMBAY RED kutoka Royal Seed

Onions Bombay Red

  • Nzuri kwa maeneo yote
  • Rangi ya zambarau-nyekundu iliyokolea
  • Hukomaa ndani ya siku 150
  • Mazao kwa ekari : tani 20
  • Vitunguu vyekundu maarufu sana kwa wakulima na soko
  • Harufu imara sana
  • Inahifadhika kwa muda na husafirika pia.


TEXAS EARLY GRANO kutoka Royal Seed

Onions Texas Grano

  • Aina inayozalisha kwa wingi na huendana vyema na maeneo ya tropiki
  • Rangi nyeupe yenye rangi ya dhahabu kwa nje
  • Hukomaa ndani ya siku 120
  • Mazao kwa ekari: tani 21
  • Vitunguu vyeupe maarufu sana kwa wakulima na soko
  • Inahifadhika kwa muda na husafirika pia


Kwa taarifa zaidi kuhusu ni wapi kwa kupata aina hivi  vya vitunguu katika eneo lako na jinsi ya kupanda, jiunge na huduma yetu tambe ya simu iShamba kwa kubonyeza katika kielekezi hiki ama kwa Kutuma neno VIJANA kwenda 21606.