Uandaaji wa shamba

Onions_Land preparation

Hatua 1

Mara tu mebgu zako zinapondwa kwenye kitalu, anza kuandaa shamba lako. 

Hatua 2

Lima shamba lako. Vunja madonge yote katika udongo. Changanya samadi iliyooza vyema shambani. Lainisha udongo shambani.

Hatua 3

Kipimo chako cha udongo kitakuambia mbolea gani ya kuongezea kwenye udongo wako na kiasi gani. Kwa kawaida utaambiwa kuongeza mbolea ya NPK kutoka Mavuno wakati wa kupanda. Hii ina Naitrogeni, Fosferi na Potasiamu, mara nyingine virutubisho vingine pia.