Wadudu na Magonjwa ya Vitunguu

Purple blotch

Tibu Purple Blotch na Downy Mildew kwa Control 70 DF kutoka Osho Chemicals.

Changanya gramu 12 ( kijiko cha chakula 1) Control 70 DF pamoja na lita 20 za maji ndani ya knapsack. Nyunyizia vitunguu vyako  kila siku 14.

Onion Diseases

Uwa wadudu (Thrips) kwa Nimbecidine na Final Flight.

Changanya 30ml Nimbecidine na lita 20 za maji katika knapsack. Nyunyizia mimea siku 15 baada ya kupanda. Rudia kila siku 15-20.

Changanya gramu 4 za Final Flight na lita 20 za maji kwenye knapsack.Nyunyizia unapoona  wadudu aina ya thrips. Rudia kila siku 10.


Kupata zaidi kuhusu wadudu na mgonjwa jiunge na iShamba au tuma UJUMBE kwa 21606.