Kutayarisha kitalu cha Vitunguu

Onion nursery setup

  1. Andaa udongo kiasi kwamba hakuna madonge. Kitalu kilichoinuliwa kitazuia  mbegu kusombwa na mvua. Chimba ndani ya tuta ili vitunguu viote mizizi mizuri.
  2. Wiki moja kabla ya kupanda, changanya samadi iliyooza vyema katika udongo.
  3. Panda mbegu 8cm kati yazo katika mishororo 15cm kati yazo. Funika mbegu na udongo.
  4. Mwagilia mbegu. Ongeza nyasi kavu kama kivuli. Hii itakinga udongo na kuweka maji.

Kwa taarifa zaidi, jiunge na huduma zetu za simu iShamba au kwa Kutuma Neno ‘VIJANA’ kwenda 21606