Kutayarisha kitalu cha Vitunguu

- Andaa udongo kiasi kwamba hakuna madonge. Kitalu kilichoinuliwa kitazuia mbegu kusombwa na mvua. Chimba ndani ya tuta ili vitunguu viote mizizi mizuri.
- Wiki moja kabla ya kupanda, changanya samadi iliyooza vyema katika udongo.
- Panda mbegu 8cm kati yazo katika mishororo 15cm kati
yazo. Funika mbegu na udongo.
- Mwagilia
mbegu. Ongeza nyasi kavu kama kivuli. Hii itakinga udongo na kuweka maji.
Kwa taarifa zaidi, jiunge na huduma zetu za simu iShamba au kwa Kutuma Neno ‘VIJANA’ kwenda 21606