Wadudu na Magonjwa ya Vitunguu
Tibu Purple Blotch na Downy Mildew kwa Control 70 DF kutoka Osho Chemicals.
Changanya
gramu 12 ( kijiko cha chakula 1) Control 70 DF pamoja na lita 20 za maji ndani ya
knapsack. Nyunyizia vitunguu vyako kila
siku 14.
Uwa wadudu (Thrips) kwa Nimbecidine na Final Flight.
Changanya 30ml Nimbecidine na lita 20 za maji katika knapsack. Nyunyizia mimea siku 15 baada ya kupanda. Rudia kila siku 15-20.
Changanya gramu 4 za Final Flight na lita 20 za maji kwenye knapsack.Nyunyizia unapoona wadudu aina ya thrips. Rudia kila siku 10.
Kupata zaidi kuhusu wadudu na mgonjwa jiunge na iShamba au tuma UJUMBE kwa 21606.
Show times
Kenya
Sunday 1:30 pm (Swahili)
Thursday 1:30 pm (English)
Tanzania
Friday 6:30 pm (Swahili)
on ITV
Uganda
Sunday 3:30 pm (English)
on Urban TV
Vitunguu
Ushauri kwa matendo kuborsha shamba lako na kupata mavuno bora
Jisajili bure