Series 1 - Makala ya 1: Hapo Mwanzo

Ken na Leah kutoka kenya, na Issah na Wonrose Kutoka Tanzania wanawasili Kwa Shamba la DLTP na kujifahamisha makaazi yao. Sheria zimewekwa na wanatambilishwa kwa umuhimu wa kifanya bageti au makadirio, na upimaji wa udongo, kabla ya kufanya mipangilio zaidi

Kukutana na wakulima