Series 1 - Makala ya 2: Maji na Mbegu

Wakulima wanajulishwa manufaa ya mbegu liyodhibitishwa na kupata usaidizi kuamua ni mazao gani kupanda kutoka kwenye oradha waliyotengeneza. wanajifunza pia kwa nini wanafaa kuwekeza kwenye mfumo wa kunyunyiza tone kwa tone.

Kukutana na wakulima