Mfumo wa ukopeshaji usio rasmi
Wengi wetu tunaamua kukopa pesa kutoka kwa mifumo ya ukopeshaji isiyo rasmi kama vyama ambavyo ni makundi ya kujiwekea yasiyo rasmi na hata wakopeshaji kama shylocks kwani vinahitaji nyaraka chache na ukaguzi kabla wakupe mkopo.
Istilahi wanazoulizia mabenki na taasisi za kifedha kwa hakika huwa juu sana na siku zote sio rahisi kuzipata.Wakopeshaji wasio rasmi muda mwingine wanaweza kutoa mkopo wa papo hapo lakini kawaida kwa kiwango kikubwa cha riba.
Ilani: Kuwa makini wakati unachukua mkopo kutoka kwa hawa wakopeshaji.
Sababu hawajadhibitiwa, mara nyingi hufanya mambo yasio ya haki kama kutaka
kiwango kikubwa sana cha riba, kunyakua mali yako kama dhamana na wanajulikana kubadilisha
makubaliano ya mkopo ghafla.
Show times
Kenya
Sunday 1:30 pm (Swahili)
Thursday 1:30 pm (English)
Tanzania
Friday 6:30 pm (Swahili)
on ITV
Uganda
Sunday 3:30 pm (English)
on Urban TV
Kugharamia kifedha biashara yako
Ushauri kwa matendo kuborsha shamba lako na kupata mavuno bora
Jisajili bure