Mfumo wa ukopeshaji usio rasmi

Table banking

Wengi wetu tunaamua kukopa pesa kutoka kwa mifumo ya ukopeshaji isiyo rasmi kama vyama ambavyo ni makundi ya kujiwekea yasiyo rasmi na hata wakopeshaji kama shylocks kwani vinahitaji nyaraka chache na ukaguzi kabla wakupe mkopo.

Istilahi wanazoulizia mabenki na taasisi za kifedha kwa hakika huwa juu sana na siku zote sio rahisi kuzipata.Wakopeshaji wasio rasmi muda mwingine wanaweza kutoa mkopo wa papo hapo lakini kawaida kwa kiwango kikubwa cha riba.

Peer to peer lendingIlani: Kuwa makini wakati unachukua mkopo kutoka kwa hawa wakopeshaji. Sababu hawajadhibitiwa, mara nyingi hufanya mambo yasio ya haki kama kutaka kiwango kikubwa sana cha riba, kunyakua mali yako kama dhamana na wanajulikana kubadilisha makubaliano ya mkopo ghafla.