Ukopaji wa uwajibikaji

Loans borrowing

Ukopaji wa uwajibikaji unamaanisha kopa tu kile unachohitaji na kuwa na mpango wa jinsi ya kurudisha kile ulichokopa.

Tengeneza bajeti/makadirio ili kusaidia kukopa kwa kiwango cha chini.Hii pia itakusaidia kuamua nini unahitaji kukopa na kuepuka ukopaji ziada.

Tumia mkopo wako kwa sababu uliyokusudia. Usikope pesa ili kuwekeza kwenye shamba lako na uzitumie kwaajili ya matumizi binafsi kama kununua viatu au kamari.